Kipali
Mandhari
Kipali Pāḷi |
|
---|---|
Lugha | |
Asili | Bara Hindi |
Familia za lugha | Kihindi-Kiulaya Kihindi-Irani Kiaryan Kimagadhi Prakrit Māgadhan Pali-Magadhi |
Aina za Awali | Kimagadhi Prakrit |
Mfumo wa kuandika | Dhamma, Devanagari, Kharoṣṭhī, Khmer, Mon-Burma, Thai, Tai Tham, Kisinhala na mwandiko wa Kilatini |
Nambari za Msimbo | |
ISO 639-1 | pi |
ISO 639-2 | pli |
ISO 639-3 | pli |
Glottolog | pali1273 |
Kipali ni lugha ya Kihindi-Kiulaya iliyotumika nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipali iko katika kundi la Kiaryan.
Siku hizi hakuna watu ambao huitumia kama lugha yao ya kwanza lakini bado inafundishwa, hasa huko Sri Lanka, kwa vile ni lugha ya fasihi andishi ya Ubuddha.
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kipali kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipali
- lugha ya Kipali katika Glottolog
- lugha ya Kipali kwenye Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |

Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: